Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.

Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.

USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Bado unawaza hivi hivi au umeuona ukweli Sasa?
 
Kenya wanajipendekeza kwa dp ili wawashauri wasiwekeze tz kwa kuwa itawaharibia wao, kenya ni wajanja sana, wanafaidika sana na tanzania

Wanapambania sana hili, ila washindwe tu
Kwa masharti Yale ya Kimangungo waende Tu hata kesho.
 
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.

Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.

Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.

View attachment 2134765
There is no Free Lunchi. DP Wolrd ilikuwa jikoni wakati huo.
 
Kwa masharti Yale ya Kimangungo waende Tu hata kesho.
Kenya hawawezi kukubali mashari ya kijinga kama yale. Ingawa waliliwa na China kwenye SGR, lakini bunge la Kenya ni kali sana, siyo rubber stamp kama hili la kwetu.
 
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.

Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.

Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.

View attachment 2134765
Tangazo hili tulitangaziwa bure!.
Hawa ni watu wema sana!.
P
 
Chanzo cha TAARIFA kuhusu charges za hiyo pesa?
Hao wengine ni ushabiki tu wa kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya Rais Samia lakini kwa taarifa yao biashara yoyote lazima itangazwe ndio watu wataijuwa wenzenu wa Rwanda wanaitangaza nchi yao kupitia premier league ya uingereza na matokeo yake wanapata wageni wengi tu kutoka huko mpaka imefikia serikali ya uingereza imeamua kupeleka huko wakimbizi wanaosubiri maamuzi ya mashauri yao kwa hivyo uingereza imewemeza mamilioni ya pesa huko hiyo ndio faida ya kujitangaza ndugu yangu.
 
Tangazo hili tulitangaziwa bure!.
Hawa ni watu wema sana!.
P
hata baada ya haya yanayoendelea mchana kweupe bado unasema "tulitangaziwa bure " !? watu hua wanakuparua hapa jf nikajua wanakuonea, ila people like you ni hasara kubwa kwa taifa
 
Back
Top Bottom