Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2023?

GENTAMYCINE
Huyu, ukitoa lugha chafu plus majivuno na dharau;Habari za ndani kabisa na nyeti kuhusu soka la Tanzania hakuna anayemfikia.


Nina uhakika baadhi ya waandishi wa habari miongoni mwa habari walikuwa wanaiba huku! Jamaa ana mtandao mkubwa sana kuhusu soka la Tanzania hasa wale mapacha wawili!
 
Ndio ujinga wake hyo nalia ngwena ni muimba mapambio wa utopolo pro max ngoja leo uone kama akifungwa mambo ya al ahly na yanga akifungwa ila popoma mpaka team yake simba anaipa makavu.
Akina Scars mbona ni Simba lialia na kila siku hapa jukwaani ni kupiga umbea dhidi ya Yanga?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…