enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Kuna ile dhana ya 'fulani alipata ngoja na mimi lazima nipate', jamaa kila ukifungua lazima umkute kafungua nyuzi, nyuzi zenyewe sasa! Ili mradi tu, full ushamba na ujuaji.Lengo ni kushinda! Hata kwa pumba!NALIA NGWENA