Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2023?

+1
Genta yuko kimatani zaidi, wajinga humu wana catch sana feelings ndo wanafanya vita zinakuwa kubwa ila yule Genta hana shida na mtu
Wachache sana wanaolijua hilo!!
Halafu wako wengi wanaomdis sema akianza kuwapangua kwa mashambulizi ndo ananifurahisha kinoma 😂😂😂😂
Genta jeshi la mtu mmoja aisee!!
 
Wachache sana wanaolijua hilo!!
Halafu wako wengi wanaomdis sema akianza kuwapangua kwa mashambulizi ndo ananifurahisha kinoma 😂😂😂😂
Genta jeshi la mtu mmoja aisee!!
Hahaha, me nisiwe muongo, humu ndani namkubali Genta na Mpwayungu, hivyo vichwa kasheshe sana ila ni milingoti mikubwa sana humu ndani.
 
Hahaha, me nisiwe muongo, humu ndani namkubali Genta na Mpwayungu, hivyo vichwa kasheshe sana ila ni milingoti mikubwa sana humu ndani.
Humu Genta namuelewa sana sijui sababu napenda hekaheka 😂😂😂
Yupo na kaka Luka ananichekesha anavyowapamba ccm na kuwakera chadema
 
Mwaka huu hawatoi tuzo kwa majukwaa mbalimbali kama walivyofanya mwaka jana?
Halipo kwakuwa wanajua Member WANAYEMCHUKIA ila ana BARAKA nyingi za Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE atashinda.

Mpaka Sasa huu Uzi upo Ukurasa wa 5 na kwa 85% GENTAMYCINE ndiyo Katajwa sana hivyo sidhani kama hii ni Meseji nzuri kwa WALIOMFUNGIA ASICHANGIE JUKWAA LA MICHEZO JAMIIFORUMS na kwa WANAOMCHUKIA pia.

Jamaa atakuwa na NYOTA KALI mno.
 
Tuko pamoja udugu mpk wampe maua yake ankol wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema ananifurahisha anavyowapaga za uso mpk wanamreport kwa mods
[emoji23][emoji23][emoji23] ankoli tuzo ya michezo ktk jukwaa atachukua kila mwaka, watashindana nae, ila hawato mshinda.
 
Aisee ili bepari la kihaya GENTAMYCINE lipewe maua yake kabla halijafa hongera broo
 
Apewe maua yake na jukwaa la siasa wampe kaka Luka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi mtu akiniomba namba hata sijichoshi nampa za kaka Luka wapambane hukooo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu mmmh
 
Wachache sana wanaolijua hilo!!
Halafu wako wengi wanaomdis sema akianza kuwapangua kwa mashambulizi ndo ananifurahisha kinoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Genta jeshi la mtu mmoja aisee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ankoli tuzo ya michezo ktk jukwaa atachukua kila mwaka, watashindana nae, ila hawato mshinda.
Hilo liko wazi na tuzo ya kuwakanda wenye shobo wampe km kifungashio cha kubebea tuzo yake ya michezo 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…