cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja udugu mpk wampe maua yake ankol wetu 🤣🤣🤣🤣Nakaziaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Apewe maua yake na jukwaa la siasa wampe kaka Luka 🤣🤣🤣
+1Tuko pamoja udugu mpk wampe maua yake ankol wetu 🤣🤣🤣🤣
Sema ananifurahisha anavyowapaga za uso mpk wanamreport kwa mods
Wachache sana wanaolijua hilo!!+1
Genta yuko kimatani zaidi, wajinga humu wana catch sana feelings ndo wanafanya vita zinakuwa kubwa ila yule Genta hana shida na mtu
Hahaha, me nisiwe muongo, humu ndani namkubali Genta na Mpwayungu, hivyo vichwa kasheshe sana ila ni milingoti mikubwa sana humu ndani.Wachache sana wanaolijua hilo!!
Halafu wako wengi wanaomdis sema akianza kuwapangua kwa mashambulizi ndo ananifurahisha kinoma 😂😂😂😂
Genta jeshi la mtu mmoja aisee!!
Wewe sio GENTAMYCINE kwa ID nyingine? Maana mshikaji ID zake zote zinajaza gazeti la Daily NewsLeo ni Desemba Mosi 2023, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu!
Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu?
Karibuni.
Humu Genta namuelewa sana sijui sababu napenda hekaheka 😂😂😂Hahaha, me nisiwe muongo, humu ndani namkubali Genta na Mpwayungu, hivyo vichwa kasheshe sana ila ni milingoti mikubwa sana humu ndani.
Halipo kwakuwa wanajua Member WANAYEMCHUKIA ila ana BARAKA nyingi za Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE atashinda.Mwaka huu hawatoi tuzo kwa majukwaa mbalimbali kama walivyofanya mwaka jana?
hili ninakubaliana nawe tena kwa 100%+1
Genta yuko kimatani zaidi, wajinga humu wana catch sana feelings ndo wanafanya vita zinakuwa kubwa ila yule Genta hana shida na mtu
acha chuki, wivu na upumbavu wakoWewe sio GENTAMYCINE kwa ID nyingine? Maana mshikaji ID zake zote zinajaza gazeti la Daily News
sifa, heshima na umaarufu wa kukuzidiHalafu anapata nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] ankoli tuzo ya michezo ktk jukwaa atachukua kila mwaka, watashindana nae, ila hawato mshinda.Tuko pamoja udugu mpk wampe maua yake ankol wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema ananifurahisha anavyowapaga za uso mpk wanamreport kwa mods
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu mmmhApewe maua yake na jukwaa la siasa wampe kaka Luka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi mtu akiniomba namba hata sijichoshi nampa za kaka Luka wapambane hukooo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachache sana wanaolijua hilo!!
Halafu wako wengi wanaomdis sema akianza kuwapangua kwa mashambulizi ndo ananifurahisha kinoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Genta jeshi la mtu mmoja aisee!!
Hilo liko wazi na tuzo ya kuwakanda wenye shobo wampe km kifungashio cha kubebea tuzo yake ya michezo 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] ankoli tuzo ya michezo ktk jukwaa atachukua kila mwaka, watashindana nae, ila hawato mshinda.