[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c umeona watu wana mtaja tyuuh hapa, ankolii tuzoo ni yakeHilo liko wazi na tuzo ya kuwakanda wenye shobo wampe km kifungashio cha kubebea tuzo yake ya michezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nampa za kaka Luka anisaidie kuwaambia mama anaupiga mwingi wasiache kumpa kura 2025 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu mmmh
Ankol tuzo yake 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c umeona watu wana mtaja tyuuh hapa, ankolii tuzoo ni yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mieNdio nampa za kaka Luka anisaidie kuwaambia mama anaupiga mwingi wasiache kumpa kura 2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyingine nawabadilishia nawapa na ya ankol pasco
Poaaapisikali mamboo
Tabora wanakimsemo chao "little things hurts little minds" yule award winning charismatic fella, hanaga shida kabisa+1
Genta yuko kimatani zaidi, wajinga humu wana catch sana feelings ndo wanafanya vita zinakuwa kubwa ila yule Genta hana shida na mtu
Hata ukijua haitokusaidia kitiWewe sio GENTAMYCINE kwa ID nyingine? Maana mshikaji ID zake zote zinajaza gazeti la Daily News
Naona genta umekuja kivingine…wewe akili hunaHalipo kwakuwa wanajua Member WANAYEMCHUKIA ila ana BARAKA nyingi za Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE atashinda.
Mpaka Sasa huu Uzi upo Ukurasa wa 5 na kwa 85% GENTAMYCINE ndiyo Katajwa sana hivyo sidhani kama hii ni Meseji nzuri kwa WALIOMFUNGIA ASICHANGIE JUKWAA LA MICHEZO JAMIIFORUMS na kwa WANAOMCHUKIA pia.
Jamaa atakuwa na NYOTA KALI mno.
Matackle yako
sifa, heshima na umaarufu wa kukuzidi
mamaako ndiyo ananijua zaidi kamuulizeUmaarufu wa ID fake! Mtaani nani anakujua kama wewe ni Cognizant!😄
Ahsante sanamamaako ndiyo ananijua zaidi kamuulize