Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2023?

Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2023?

Hilo liko wazi na tuzo ya kuwakanda wenye shobo wampe km kifungashio cha kubebea tuzo yake ya michezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c umeona watu wana mtaja tyuuh hapa, ankolii tuzoo ni yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu mmmh
Ndio nampa za kaka Luka anisaidie kuwaambia mama anaupiga mwingi wasiache kumpa kura 2025 😂😂😂😂
Siku nyingine nawabadilishia nawapa na ya ankol pasco
 
Ndio nampa za kaka Luka anisaidie kuwaambia mama anaupiga mwingi wasiache kumpa kura 2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyingine nawabadilishia nawapa na ya ankol pasco
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie
 
+1
Genta yuko kimatani zaidi, wajinga humu wana catch sana feelings ndo wanafanya vita zinakuwa kubwa ila yule Genta hana shida na mtu
Tabora wanakimsemo chao "little things hurts little minds" yule award winning charismatic fella, hanaga shida kabisa
 
Halipo kwakuwa wanajua Member WANAYEMCHUKIA ila ana BARAKA nyingi za Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE atashinda.

Mpaka Sasa huu Uzi upo Ukurasa wa 5 na kwa 85% GENTAMYCINE ndiyo Katajwa sana hivyo sidhani kama hii ni Meseji nzuri kwa WALIOMFUNGIA ASICHANGIE JUKWAA LA MICHEZO JAMIIFORUMS na kwa WANAOMCHUKIA pia.

Jamaa atakuwa na NYOTA KALI mno.
Naona genta umekuja kivingine…wewe akili huna
 
Back
Top Bottom