Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JiweAmesahaulika kocha
Kumbuka ni kikosi cha miaka 10 iliyopita na sio kikosi cha muda wote. Hivyo kuna wachezaji kama Carvalho hapaswi kuwepo.Cavalho unamuacha wapi hapo
Essien
Makelele
John obi mikel
Ameondoka Chelsea miaka mingi sana, eakati sisi hapa tunaangalia kikosi bora cha miaka 10 iliyopitaMakelele cloud
Vp hakuna wachezaji wa substitution(Akiba)Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
Duuh nahisi tumeshindwa kuelewana. Watu wanakurupuka kukoment bila kusoma uzi.Toa Willian weka Gianfranco Zola aka Magic box
toa fabinho tia pogba
Sio all time mkuu ni decade Zola ni wa zamani kidogoToa Willian weka Gianfranco Zola aka Magic box
Mimi ni Arsenal!Kwa mawazo yangu toa Willian tia Malouda kwa mata tia Oscar , ama kibaki hivyo hivyo ila kwa mata akae lampard kwa lampard akae ramirez... Unakufa popote. Mimi ni Man utd
yule dada daktari...mbaya wa JM.Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
Sio all time mkuu ni decade Zola ni wa zamani kidogo
Duuh nahisi tumeshindwa kuelewana. Watu wanakurupuka kukoment bila kusoma uzi.
BallackBarack
Kama ni miaka kumi basi Ramirez, Ballack, Ob Mickel, Oscar, na hata essien wote walikuwepo..Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
toa fabinho tia pogba