Nani ametisha kwenye ngoma ya Underrated?

Mwamba umemaliza kesi
Uzi ufungwe
 
Say no more, umemaliza kila kitu😂

Tatizo jamaa ni overrated na hii ngoma ni ya underrated, ila line kwa line bado kiaina, sio kwamba hana kitu ila bado hajafikia ule uwezo hivyo akaze buti atafika
Ajabu ni kwamba ameshindwa kukaza. Ni kama vile aliingia ubaridi ghafla
 
Nasikitika TU hapo Kwa wakongwe wa ku_stick na mada umewezaje kumsahau Jay Moe!?

Ila uchambuzi wako ni mzuri na uandishi pia. Hongera.
 
Maarifa na Dizasta wameflow fresh sana.

Style ya flow za Dizasta, ni nadra sana kupoteana au kufunikwa kwenye hizi colabo. P nae kaenda vizuri, ila kwa mtazamo wangu hajawafikia hao wawili
Dizasta noma sana, anakwambia I'm in the top two and I'm not second!
 
Ukwel usemwe rapcha ana uwezo mdogo sana...yaan kaharibu ngoma mpaka unatamani umfute kwenye wimbo[emoji35]...Disasta kafanya ngoma kama yake vile katisha,stamina nae kaua
 
Ukwel usemwe rapcha ana uwezo mdogo sana...yaan kaharibu ngoma mpaka unatamani umfute kwenye wimbo[emoji35]...Disasta kafanya ngoma kama yake vile katisha,stamina nae kaua
Umesikiliza Mr. Xmas ya mwaka huu?
 
Say no more, umemaliza kila kitu😂

Tatizo jamaa ni overrated na hii ngoma ni ya underrated, ila line kwa line bado kiaina, sio kwamba hana kitu ila bado hajafikia ule uwezo hivyo akaze buti atafika
Acheni zalau....kwahyo Motra,maarifa,boshoo wanamzidi Rapcha?
 
Ukwel usemwe rapcha ana uwezo mdogo sana...yaan kaharibu ngoma mpaka unatamani umfute kwenye wimbo[emoji35]...Disasta kafanya ngoma kama yake vile katisha,stamina nae kaua
Rapcha kaharibu ngoma gani? Au hata Rapcha humjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…