Mim naona uyu wa apa karibu na pale ndo katisha kuliko yule,au unaonaje mkuu?Alotisha ndo katisha au we unaona nani katisha
Kbsa yaan sema yule wa pale kazngua kdgoMim naona uyu wa apa karibu na pale ndo katisha kuliko yule,au unaonaje mkuu?
Ni kweli mkuu ila angetisha zaid wa pale karibu sema kaharibu pale chini alivoweka ndevu zakeKbsa yaan sema yule wa pale kazngua kdgo
Ndevu za chini zmempndza ila ile style ya juu imempndza zaidi mkuuNi kweli mkuu ila angetisha zaid wa pale karibu sema kaharibu pale chini alivoweka ndevu zake
Ha ha ha ngoja tumsubir mtoa thread tuone kam atakubariana na mawazo yetuNdevu za chini zmempndza ila ile style ya juu imempndza zaidi mkuu