rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,965
- 5,894
Kiwanda hiki kilikuwa kikubwa sana na kiliajiri direct na indirect zaidi ya watu 2000.
Kilikuwa kikisindika maziwa, nyama na vitu kama vile cheese.
Wamasai walikuwa wakiuza ng'ombe na maziwa na kuwa na kipato cha uhakika. Leo chali.
Tafadhali serikali sikivu ya Mh. Rais Magufuli, kiwanda hiki kifuatiliwe na kifufuliwe.
Watanzania sisi watu wa ajabu sana, sisi ni wa kuua kiwanda kama hiki?