Kiwanda hiki kilikuwa kikubwa Sana na kiliajiri direct na indirect zaidi ta watu 2000...
Kilikuwa kikisindika Maziwa, nyama na vitu Kama vile cheese......
Wamasai walikuwa wakiuza ng'ombe na maziwa na kuwa na kipato Cha uhakika....Leo chali.
Tafadhali serikali sikivu ya Mh. J.P Magufuli, kiwanda hiki kifuatiliwe na kifufuliwe.
Watanzania sisi watu wa ajabu Sana..... Sisi Ni wa kuua kiwanda Kama hiki????