Nani amewahi kufungua jicho la tatu, ni faida gani umeipata?

Namaste
 
asante.
Je unaweza kufungua hilo jicho na bado nikawa muumini mkamilifu yaan naenda kanisani na ninaomba kama wengine?
Au kuna masharti yake??
 
Namaste Annah
 
Nilishausoma!
miongoni mwa njia alizoelezea mshana ni meditation na bangi!
Nnahitaj kujua kat ya njia hzo umetumia ipi?
Ya bangi ndio rais iyo ya meditation ni ngumu sana inatakiwa uwe kwenye sehemu iliyotulia sana na akili iwe imetulia
 
Kwenye meditation ulikuwa guided na 'master'?
 
Mmmmh Jicho la tatu??? Astaghafulullah
 
asante.
Je unaweza kufungua hilo jicho na bado nikawa muumini mkamilifu yaan naenda kanisani na ninaomba kama wengine?
Au kuna masharti yake??
Ndiyo inawezekana.

Lakini niseme tu yapo mambo hutopenda kuyafanya kama ulivyozoea/ilivyozoeleka awali.

Hii inasababishwa na jambo moja.

Ukiwa woke utaanza kuona ukweli katika "kiwango cha juu zaidi" na kama church kuna mambo/mafundisho hayaendi katika hali ya unyoofu basi itakutatiza na pengine ukaamua kuachana na njia zao.

I wish you all the best in your journey of re-discovering yourself.

All answers to your questions are already present within you. It's your duty to find.
 
Mkuu, tafuta kitabu kinaitwa"The Third Eye" cha mwandishi T Lobsang Rampa. Huenda kikakusaidia kufungua hilo jicho la tatu!
 
which herb ..Marijuana they can fit
 
Inakuwaje Mkuu?
Mkuu kwa fikra zangu ambazo wenda sio pevu kama navyofikiri naomba nikushauri jambo jaribu mambo mengine kuyaacha kama yalivyo, usiwe mtu wa kupenda kujaribu mambo ambayo unayajua fika kuwa ni hatar hata kwa uhai wako....
 
Kushoto vyote sina nilichoelewa kesho labda nitaelewa
 
Swali muhimu.

Ndiyo, nilijifunza tahajudi kwa msaada wa mwalimu wangu.

Lakini pia bidii yangu binafsi ndiyo jibu.

Im practicing meditating for 5 good years now.

Pia mimi ni energy healer. I practice Reiki, distance reiki. I'm in level two now.

Dah, mkuu uko vizuri sana kiongozi.
 

Paji la uso na siri ya jicho la tatu soma link ya mshana jr iyo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…