Nani amewahi kufungua jicho la tatu, ni faida gani umeipata?

Nani amewahi kufungua jicho la tatu, ni faida gani umeipata?

Hii ktu ni ngumu kuelezea lakini sijui Kama ni inafanya kazi au coincidence 2017 nilikuwa nafanya nilikuwa na uwezo wa kufanya mambo ya ajabu sana unatamani kitu unakuja kukipata unknowingly kiukweli hakuna namna nzuri ya kuelezea zaidi ya kusema ni Kama miujiza/maajabu by the way nilikuwa naweza kuhisi vibration /mtetemo mtu akiwa mbali ata 10meters away sometimes ni Kama usumbufu kwa kuwa unasikia na kuona sana so mwili haupumziki vya kutosha

Kwa sasa napractice kidogo na inanisaidia kiasi kutuliza akili na kuondoa msongo najikuta naaishi isolated na mabalaa mengi.

Ukweli ni kuwa faida ama hasara za meditation ni very subjective hazifanani na ni ngumu kuwa proven kwa process results zake ni Kama ushuhuda ambao Ukweli dhahiri anaujua mtoaji hivyo unaeambiwa is up to you ukubali ama usikubali ni Juu yako has nothing to do with me
Ndugu mleta mada umeongea jambo zuri lakini nasikitika unahangaika na watu ambao hawapo serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jicho la tatu halifunguki km unavyowaza wewe au km majicho haya mawili.


Ulipo sasa hivi jicho lako la tatu limefunguka tayari.Kitu kinachofanyika ni kama mtu ambaye anapata ngazi kwenda ghorofani katika ulimwengu wa roho...


Ukiwa unapanda ngazi ukifika ghorofa ya kwanza ukaangalia chini kuna vitu unaviona ambavyo aliyepo kwenye floor ya chini hawezi kuviona lakini ukifika ghorofa la pili,kuna vitu unaviona vya mbali zaidi ambavyo mtu wa floor ya chini na ghorofa ya kwanza havioni..Hivyo hivyo ndo jicho la tatu linavyofanya kazi kadri unavyofikia uwezo flani wa kiroho kuna vitu utaviona ambavyo mtu wa level ya chini yako kiroho hawezi kuviona...

Kwa kiujumla kufungua jicho la tatu ni mchakato endelevu na kadri unavyofikia level flani basi kuna uwezo flani unaongezeka...
 
Unataka kufungua jicho la tatu bila bugudha basi andaa kilainishi murua kabisa upewe mujarabu
 
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu inaitwa kufungua jicho la tatu,
nimeshindwa kabisa kuielewa hivyo naomba kujua kutoka kwa wadau mliowahi
kufanya hicho kitu ilikuwaje? kuna tofauti gani baada ya kufungua na kabla ya
kufungua jicho hilo?

Kwakomshana jr na wataalamu wengine, Kuna mtu ananiambia Bangi inasaidia
kufungua jicho la tatu kwa haraka zaidi, Kuna ukweli gani, maana nami nataka kufanya.
Kufungua jicho la tatu ni safari na kila mtu ana experience yake. Sio kitu cha ghafla kutokea, binafsi siwezi kuelezea kwani maneno hayatoshi ila kwa kifupi utakuwa na amani ya roho na mtu mwenye furaha ya kweli
 
Kufungua jicho la tatu maana yake ni kuwa "woke" spiritually

Ukiwa "woke" mwenyewe utagundua tu.

Utaanza kuwa awere na vitu vinavyokuzunguka. People, animals, nature everything.

Utapenda na kujali watu/wanyama kwa uzuri wao wa asili.

Hautokuwa judgemental.

Pia mtindo wa maisha utabadilika. Food you eat, people you interact with, places you go etc.

Kifupi utanza kuona maisha katika namna mpya nzuri.

Binafsi toka nimekuwa woke spiritually ni mwaka wa tatu sasa.

Faida niliyopata ni kuwa na msawazo kwenye maisha yangu. Kifupi I'm living the best life. I'm at piece with myself and others.

Labda kingine nimekuwa very intuitive. I can feel the truth in your heart. You don't need to tell me who you are. Your energy tells everything.

Pia naweza kusikia kile unachowaza.

Hii mwanzoni nilikuwa nashangaa mwenyewe how possible....lakini sasa nimejua I can hear the voices in peoples thoughts.

Kuhusu marijuana.

Herbs haikufanyi uwe "woke"

Herbs inasaidia watu walikuwa "woke" tayari kuwa eleveted in a new heights of truth and understanding.

Hata ukivuta magunia kwa magunia hauwezi kuwa woke.

Kitakachokusaidia kuwa "woke" kwanza kabisa jifunze self love.

Pili improve your eating habits.

Tatu, meditate frequently.

You can use herbs to enhance your meditation experience.

Namaste
👃Namaste
 
Back
Top Bottom