Yes the same thing.. Hata glass yenye kimiminika ama chochote kile... Unaweza ukitazame lakini usikione ama ukiangalie lakini hukitazamiWell Said
Vipi Kuhusu Remote Viewing maana Kuna Mtu Alikuaga ananifundisha Ananionesha Mfano simu Halafu ananambia Itazame kwa makini na Usiwaze Kingine Baadae anakificha afu Ananambia Nikitafute kwa mara moja
Nooma Saana Nimekupm MkuuYes the same thing.. Hata glass yenye kimiminika ama chochote kile... Unaweza ukitazame lakini usikione ama ukiangalie lakini hukitazami
bangiWakuu naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu inaitwa kufungua jicho la tatu,
nimeshindwa kabisa kuielewa hivyo naomba kujua kutoka kwa wadau mliowahi
kufanya hicho kitu ilikuwaje? kuna tofauti gani baada ya kufungua na kabla ya
kufungua jicho hilo?
Kwako mshana jr na wataalamu wengine, Kuna mtu ananiambia Bangi inasaidia
kufungua jicho la tatu kwa haraka zaidi, Kuna ukweli gani, maana nami nataka kufanya.
mrejeshoAisee
Hii ktu ni ngumu kuelezea lakini sijui Kama ni inafanya kazi au coincidence 2017 nilikuwa nafanya nilikuwa na uwezo wa kufanya mambo ya ajabu sana unatamani kitu unakuja kukipata unknowingly kiukweli hakuna namna nzuri ya kuelezea zaidi ya kusema ni Kama miujiza/maajabu by the way nilikuwa naweza kuhisi vibration /mtetemo mtu akiwa mbali ata 10meters away sometimes ni Kama usumbufu kwa kuwa unasikia na kuona sana so mwili haupumziki vya kutosha
Kwa sasa napractice kidogo na inanisaidia kiasi kutuliza akili na kuondoa msongo najikuta naaishi isolated na mabalaa mengi.
Ukweli ni kuwa faida ama hasara za meditation ni very subjective hazifanani na ni ngumu kuwa proven kwa process results zake ni Kama ushuhuda ambao Ukweli dhahiri anaujua mtoaji hivyo unaeambiwa is up to you ukubali ama usikubali ni Juu yako has nothing to do with me
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji3]mshana jr kuna mteja huku
Hii ktu ni ngumu kuelezea lakini sijui Kama ni inafanya kazi au coincidence 2017 nilikuwa nafanya nilikuwa na uwezo wa kufanya mambo ya ajabu sana unatamani kitu unakuja kukipata unknowingly kiukweli hakuna namna nzuri ya kuelezea zaidi ya kusema ni Kama miujiza/maajabu by the way nilikuwa naweza kuhisi vibration /mtetemo mtu akiwa mbali ata 10meters away sometimes ni Kama usumbufu kwa kuwa unasikia na kuona sana so mwili haupumziki vya kutoshaJamani jamani, hilo jicho la 3 si ndio lile jicho Vijana wanasema linapatikana KWA MPALANGE au
Unazungumzia ramliWakuu naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu inaitwa kufungua jicho la tatu,
nimeshindwa kabisa kuielewa hivyo naomba kujua kutoka kwa wadau mliowahi
kufanya hicho kitu ilikuwaje? kuna tofauti gani baada ya kufungua na kabla ya
kufungua jicho hilo?
Kwako mshana jr na wataalamu wengine, Kuna mtu ananiambia Bangi inasaidia
kufungua jicho la tatu kwa haraka zaidi, Kuna ukweli gani, maana nami nataka kufanya.
Ukipata nitag pls mwenyewe natafuta kwa muda mrefuJaman Kwa anaejua sehemu ya meditation center Kwa mkoa wa Arusha anisaidie pls
Unaweza kupishana na mtu unaemjua muda mrefu then nashtuka Sana kumuona akiwa hai ni Kama angetakiwa awe amekufa na Wala haumwi Wala Hana tatizo lolote la kunifanya nishtuke kumuona akiwa hai bado then baada ya masaa machache napata taarifa kwamba amefariki kwa ajali hii imekaaje ni kwamba alishakufa kwenye ulimwengu wa roho ama ndio niliona kwa jicho la tatuKufungua jicho la tatu maana yake ni kuwa "woke" spiritually
Ukiwa "woke" mwenyewe utagundua tu.
Utaanza kuwa awere na vitu vinavyokuzunguka. People, animals, nature everything.
Utapenda na kujali watu/wanyama kwa uzuri wao wa asili.
Hautokuwa judgemental.
Pia mtindo wa maisha utabadilika. Food you eat, people you interact with, places you go etc.
Kifupi utanza kuona maisha katika namna mpya nzuri.
Binafsi toka nimekuwa woke spiritually ni mwaka wa tatu sasa.
Faida niliyopata ni kuwa na msawazo kwenye maisha yangu. Kifupi I'm living the best life. I'm at piece with myself and others.
Labda kingine nimekuwa very intuitive. I can feel the truth in your heart. You don't need to tell me who you are. Your energy tells everything.
Pia naweza kusikia kile unachowaza.
Hii mwanzoni nilikuwa nashangaa mwenyewe how possible....lakini sasa nimejua I can hear the voices in peoples thoughts.
Kuhusu marijuana.
Herbs haikufanyi uwe "woke"
Herbs inasaidia watu walikuwa "woke" tayari kuwa eleveted in a new heights of truth and understanding.
Hata ukivuta magunia kwa magunia hauwezi kuwa woke.
Kitakachokusaidia kuwa "woke" kwanza kabisa jifunze self love.
Pili improve your eating habits.
Tatu, meditate frequently.
You can use herbs to enhance your meditation experience.
Namaste
sio woke ni awake, awakenNdiyo inawezekana.
Lakini niseme tu yapo mambo hutopenda kuyafanya kama ulivyozoea/ilivyozoeleka awali.
Hii inasababishwa na jambo moja.
Ukiwa woke utaanza kuona ukweli katika "kiwango cha juu zaidi" na kama church kuna mambo/mafundisho hayaendi katika hali ya unyoofu basi itakutatiza na pengine ukaamua kuachana na njia zao.
I wish you all the best in your journey of re-discovering yourself.
All answers to your questions are already present within you. It's your duty to find.
Me sijasoma hicho, ila nimesoma kitabu cha uyo uyo jamaa kinaitwa you forever ni balaa kina mambo mazito.Mkuu, tafuta kitabu kinaitwa"The Third Eye" cha mwandishi T Lobsang Rampa. Huenda kikakusaidia kufungua hilo jicho la tatu!