Nani amewahi kufungua jicho la tatu, ni faida gani umeipata?

Ndugu mleta mada umeongea jambo zuri lakini nasikitika unahangaika na watu ambao hawapo serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jicho la tatu halifunguki km unavyowaza wewe au km majicho haya mawili.


Ulipo sasa hivi jicho lako la tatu limefunguka tayari.Kitu kinachofanyika ni kama mtu ambaye anapata ngazi kwenda ghorofani katika ulimwengu wa roho...


Ukiwa unapanda ngazi ukifika ghorofa ya kwanza ukaangalia chini kuna vitu unaviona ambavyo aliyepo kwenye floor ya chini hawezi kuviona lakini ukifika ghorofa la pili,kuna vitu unaviona vya mbali zaidi ambavyo mtu wa floor ya chini na ghorofa ya kwanza havioni..Hivyo hivyo ndo jicho la tatu linavyofanya kazi kadri unavyofikia uwezo flani wa kiroho kuna vitu utaviona ambavyo mtu wa level ya chini yako kiroho hawezi kuviona...

Kwa kiujumla kufungua jicho la tatu ni mchakato endelevu na kadri unavyofikia level flani basi kuna uwezo flani unaongezeka...
 
Unataka kufungua jicho la tatu bila bugudha basi andaa kilainishi murua kabisa upewe mujarabu
 
Kufungua jicho la tatu ni safari na kila mtu ana experience yake. Sio kitu cha ghafla kutokea, binafsi siwezi kuelezea kwani maneno hayatoshi ila kwa kifupi utakuwa na amani ya roho na mtu mwenye furaha ya kweli
 
👃Namaste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…