Nani amewahi kutumia hizi

Nani amewahi kutumia hizi

Ubungoubungo mbona unakipaka? wewe unasema hakua Dawa ya unga ni uchawi wewe unaujuwa Uchawi ?kwanza uchawi unaweza kuuwona wewe kwa macho?ninavyojuwa mimi Uchawi huwezi kuuona mpaka yule anayefanya Uchawi akuonyeshe hizo alizotaja ndugu Nicko ni dawa za Kienyeji sio Uchawi na mimi pia sizielewi lakini naweza kumshauri kuhusu hayo Matatizo ya ndugu nicko kwa hayo Maumivu ya miguu na misuli ya miguu ajaraibu kuulizizia Watu wanaopiga chuku (Hijama) wampige hiyo chuku au hijama katika kiunoni mwake matatizo yake yataondoka akaulizie kwa Waganga wa Kienyeji sio Wachungaji au Mashekhe matatizo yake yataondoka akipenda Mungu.
 
jamani nani amewahi kutumia dawa inayoitwa ngetwa3 au ngoka11? Je ni kweli zinatibu vizuri kama ninavyosikia au uzushi tu.je zina madhara yoyote?

usidanganyike!
 
Back
Top Bottom