Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

Mitiki haina soko kuna jamaa yangu ana hekari zaidi ya 40 ya mitiki. toka mwaka jana alivyoanza kutafuta wateja hadi leo bado hajapata soko ametumia hadi madalali wa buguruni lakini bado ameshindwa kuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimesema yeyote ambaye amewahi kuuza mitiki aje hapa, asema aliuza wapi na aliuza sh ngapi? mpaka sasahivi hakuna lakini bado watu wanamwambia jamaa kuwa kuna soko
 
Mitiki haina soko kuna jamaa yangu ana hekari zaidi ya 40 ya mitiki. toka mwaka jana alivyoanza kutafuta wateja hadi leo bado hajapata soko ametumia hadi madalali wa buguruni lakini bado ameshindwa kuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe details za shamba.
Eneo lilipo, umri wa miti.
HATUA ZA UUZAJI.
tutafika kupima na kufanya tathmini -Bure.
Utapewa fomu ya mkataba wa kuuza na fomu ya bei na madaraja ya miti.
Utatakiwa kuleta barua toka serikali za kijiji au mtaa kuhusu umiliki wa shamba.
Ukikubaliana na bei miti itavunwa ndani ya wiki moja toka urudishe fomu na malipo yatafanyika.
Unaweza kuvuna na kuileta kiwandani KVTC-MAVIMBA IFAKARA -KILOMBERO.
Ila unahitaji kupitia mkataba kwanza.
Details tuma.
0766006128.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du na mimi nililima miti kama heka tano kwa kusikia kwa watu kuwa mitiki ina soko kubwa. Any way ngoja niendelee kupanua shamba kama haina soko lkn inalinda ardhi
 
Ni ujinga kufanya arguments za suala hili eti mitiki haina soko.

Pines zenyewe ziwe na soko mitiki ndo ikose soko.Mleta mada za kuambiwa changanya na zako uza halafu uje ujinyonge utakapojua kuwa umeuza maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko

Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni biashara nzuri sana hapo itakapokuwa imekomaaa maana kwa sasa hii miti ina miaka mitatu.

Huwa najiuliza ni nani ambaye ameshafanya biashara ya kuuza mitiki sipati jibu na hata nikiwauliza wanaosema ni mali hakuna anayenionyesha. Kwahiyo ndugu wana jamiii kama kuna mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa.

Natanguliza shukrani kwenu.
Binafsi nipo kwenye industry ya mbao kama mwaka sasa unaisha, nilipata order ya mbao ya mitiki kama pieces 4000 hv na nikaambiwa nipeleke quotation ofisini ili tukaongee biashara kamili kama nitaweza kuwa supplier wao, ukweli nilishindwa maana maandalizi ya quotation huanzia kwenye bei ya mti, upatikanaji wa miti yenyewe,vibali, running costs wakati wa maandalizi, transport, ushuru, nk. Ofisi yenyewe ni furniture centre huko dsm (hope unaifaham ilipo au ulishaisikia). So naamini huwezi kupata hasara mkuu, wewe panda then ihudumie vizuri wateja utapata tu muda ukifika. Cha msingi ni uvumilivu tu maana naskia inakua kwa miaka mingi sana ili kufikia umri wa kuvuna (18+).
 
miti yako ikiwa mikubwa nitafute nikuunganishe na wahindi wanatoaga bei nzuri usitumie nadalali nenda lupiro huko wilaya ya ulanga ndio utajua hakuna mkulima atakayeeneemekaa zaidi ya mfanya Biashara
SELL or GET SOLID
 
Mkuu kama una idea wanalipaje saidia hapa, kwamba kwa mti wa ukubwa huu na umri huu bei yake ni kiasi fulani.
 
Mkuu kama una idea wanalipaje saidia hapa, kwamba kwa mti wa ukubwa huu na umri huu bei yake ni kiasi fulani.
mkuu kwanza mtiki haunaga bei maalum huwa unauzwa kwa bei ya mnada Sawa na dollar hivyo bei hupanda na kushuka Kama vile gallon za mafuta huko arrabs
SELL OR GET SOLID
 
Msata to muheza Ni very short Kuna wazungu Wana deal na hiki kilimo na kuwawezesha wakulima wa ticks nenda maeneo ya amani muheza soon utanipa jibu Ni utajiri matawi, shina Hadi mizizi wanang'oa
 
miti yako ikiwa mikubwa nitafute nikuunganishe na wahindi wanatoaga bei nzuri usitumie nadalali nenda lupiro huko wilaya ya ulanga ndio utajua hakuna mkulima atakayeeneemekaa zaidi ya mfanya Biashara
SELL or GET SOLID
Mkuu Mimi nina shamba
la mitiki zaid ya 400 ina miaka zaid ya 15 , naomba ni link na wahindi
 
miti yako ikiwa mikubwa nitafute nikuunganishe na wahindi wanatoaga bei nzuri usitumie nadalali nenda lupiro huko wilaya ya ulanga ndio utajua hakuna mkulima atakayeeneemekaa zaidi ya mfanya Biashara
SELL or GET SOLID
Habari kaka nina kaka yangu anataka kuuza mitiki ila hajui masoko na miti ishapea ana heka 200 Tanga
 
Hivi nikiamua ku'import tembo wangu na vifaru wangu halafu nikawazalisha kwaajili ya biashara ya pembe, meno na ngozi, serikali itanikalia kooni pia?
Sawa sawa na kusema unaweza kumuua mwanao kisa tu ume mzaa wewe.

Sheria za nchi zinasemaje?hata kama pembe ni za tembo

Hivi unaweza unaweza kutengeneza bunduki hapa kwa vifaa vyako halafu serikali ikakuachia
 
Back
Top Bottom