Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mitiki isije kuwa Biashara ya Mayai ya Kware?Wewe unayesema kuna soko lakini hujui soko lipo wapi.... mwambie soko lipo wapi? Wananunua kwa sh ngapi? Hizo ni story za kusadikika bora alime mananasi tu ataenda kuuza buguruni
nimesema yeyote ambaye amewahi kuuza mitiki aje hapa, asema aliuza wapi na aliuza sh ngapi? mpaka sasahivi hakuna lakini bado watu wanamwambia jamaa kuwa kuna sokoMitiki haina soko kuna jamaa yangu ana hekari zaidi ya 40 ya mitiki. toka mwaka jana alivyoanza kutafuta wateja hadi leo bado hajapata soko ametumia hadi madalali wa buguruni lakini bado ameshindwa kuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe details za shamba.Mitiki haina soko kuna jamaa yangu ana hekari zaidi ya 40 ya mitiki. toka mwaka jana alivyoanza kutafuta wateja hadi leo bado hajapata soko ametumia hadi madalali wa buguruni lakini bado ameshindwa kuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nipo kwenye industry ya mbao kama mwaka sasa unaisha, nilipata order ya mbao ya mitiki kama pieces 4000 hv na nikaambiwa nipeleke quotation ofisini ili tukaongee biashara kamili kama nitaweza kuwa supplier wao, ukweli nilishindwa maana maandalizi ya quotation huanzia kwenye bei ya mti, upatikanaji wa miti yenyewe,vibali, running costs wakati wa maandalizi, transport, ushuru, nk. Ofisi yenyewe ni furniture centre huko dsm (hope unaifaham ilipo au ulishaisikia). So naamini huwezi kupata hasara mkuu, wewe panda then ihudumie vizuri wateja utapata tu muda ukifika. Cha msingi ni uvumilivu tu maana naskia inakua kwa miaka mingi sana ili kufikia umri wa kuvuna (18+).Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko
Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni biashara nzuri sana hapo itakapokuwa imekomaaa maana kwa sasa hii miti ina miaka mitatu.
Huwa najiuliza ni nani ambaye ameshafanya biashara ya kuuza mitiki sipati jibu na hata nikiwauliza wanaosema ni mali hakuna anayenionyesha. Kwahiyo ndugu wana jamiii kama kuna mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa.
Natanguliza shukrani kwenu.
una wazimu weweHivi nikiamua ku'import tembo wangu na vifaru wangu halafu nikawazalisha kwaajili ya biashara ya pembe, meno na ngozi, serikali itanikalia kooni pia?
Mkuu kama una idea wanalipaje saidia hapa, kwamba kwa mti wa ukubwa huu na umri huu bei yake ni kiasi fulani.miti yako ikiwa mikubwa nitafute nikuunganishe na wahindi wanatoaga bei nzuri usitumie nadalali nenda lupiro huko wilaya ya ulanga ndio utajua hakuna mkulima atakayeeneemekaa zaidi ya mfanya Biashara
SELL or GET SOLID
mkuu kwanza mtiki haunaga bei maalum huwa unauzwa kwa bei ya mnada Sawa na dollar hivyo bei hupanda na kushuka Kama vile gallon za mafuta huko arrabsMkuu kama una idea wanalipaje saidia hapa, kwamba kwa mti wa ukubwa huu na umri huu bei yake ni kiasi fulani.
Mkuu Mimi nina shambamiti yako ikiwa mikubwa nitafute nikuunganishe na wahindi wanatoaga bei nzuri usitumie nadalali nenda lupiro huko wilaya ya ulanga ndio utajua hakuna mkulima atakayeeneemekaa zaidi ya mfanya Biashara
SELL or GET SOLID
Habari kaka nina kaka yangu anataka kuuza mitiki ila hajui masoko na miti ishapea ana heka 200 Tangamiti yako ikiwa mikubwa nitafute nikuunganishe na wahindi wanatoaga bei nzuri usitumie nadalali nenda lupiro huko wilaya ya ulanga ndio utajua hakuna mkulima atakayeeneemekaa zaidi ya mfanya Biashara
SELL or GET SOLID
Sawa sawa na kusema unaweza kumuua mwanao kisa tu ume mzaa wewe.Hivi nikiamua ku'import tembo wangu na vifaru wangu halafu nikawazalisha kwaajili ya biashara ya pembe, meno na ngozi, serikali itanikalia kooni pia?
hiyo miti ina umri gani ?Habari kaka nina kaka yangu anataka kuuza mitiki ila hajui masoko na miti ishapea ana heka 200 Tanga
bado ipo? na ina miaka mingapi?Mitiki haina soko kuna jamaa yangu ana hekari zaidi ya 40 ya mitiki. toka mwaka jana alivyoanza kutafuta wateja hadi leo bado hajapata soko ametumia hadi madalali wa buguruni lakini bado ameshindwa kuuza
Sent using Jamii Forums mobile app