Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuzionaNeno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria.
Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo linahusisha vitabu vitano vya Sheria vya mussa vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania.
Lakini kumekuwa na shutuma kwamba Torati na Injili zilizopo Sasa zimechakachuliwa na siyo zile halisi za zama hizo.
Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona
injili ni habari njema zinazohusu kuzaliwa kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria.
Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo linahusisha vitabu vitano vya Sheria vya mussa vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania.
Lakini kumekuwa na shutuma kwamba Torati na Injili zilizopo Sasa zimechakachuliwa na siyo zile halisi za zama hizo.
Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
kwaiyo injili na torati zilikuwa misri tu??Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona
Baada ya hapo ndio wakaanza kubadirisha mambo kidogo kidogo. Angalia hizi Sanamu zinazosemwa za Yesu ambazo waumini wakikristu wanauziwa na kuaminishwa ni za Yesu wakati ni za Mwigizaji zilizotengenezwa miaka ya 1970 tu hapo. Cha ajabu waumini hawaambiwi kuwa ni za Mwigizaji na wanauziwa kwa pesa kubwa ni sawa tu na kuuziwa Maji na Mafuta kwa Mchungaji Mwamposa. 🤣
Mkuu hivi tunavyosoma sasa hivi siyo OG baada yahapo masimulizi yaliendelea pia elewa kuwa zamani masimulizi ndio yalikuwa yanatawala ndio maana bible kjna edition mbali mbali. OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya MisriCopy halisi?.
Ina maana OG ilikuwa duplicate.
Na duplicate ilibaki?.
Je Ndio hizi tunazoziona? au walianza tena kutafuta wale waandish wa vitabu wasimulie tena upya na watu waandike?.
Je OG ilikuwa na nn cha ziada ambacho za sasa hivi hamna?.
Ndio kwa wakati huo. Vimesambaa kwenye Karne ya 17.kwaiyo injili na torati zilikuwa misri tu??
OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya Misri
umeelewa swali??Ndio kwa wakati huo. Vimesambaa kwenye Karne ya 17.
Ndio kwa wakati huo. Vimesambaa kwenye Karne ya 17.
acha uongo unakanusha hii iliyopo sio original kwasababu inakupinga au??....................yan waarabu wa misri wawe na torati original ichomwe moto ipotee yote afu wayahud na wakristo wasiwe nazo orginal?Mkuu hivi tunavyosoma sasa hivi siyo OG baada yahapo masimulizi yaliendelea pia elewa kuwa zamani masimulizi ndio yalikuwa yanatawala ndio maana bible kjna edition mbali mbali. OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya Misri
Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona
Baada ya hapo ndio wakaanza kubadirisha mambo kidogo kidogo. Angalia hizi Sanamu zinazosemwa za Yesu ambazo waumini wakikristu wanauziwa na kuaminishwa ni za Yesu wakati ni za Mwigizaji zilizotengenezwa miaka ya 1970 tu hapo. Cha ajabu waumini hawaambiwi kuwa ni za Mwigizaji na wanauziwa kwa pesa kubwa ni sawa tu na kuuziwa Maji na Mafuta kwa Mchungaji Mwamposa. 🤣
Kama siyo halisi na halisi ilishachomwa, Sasa tunajuaje hii ya sasa ni feki kiasi gani?Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona
Kama unajua maana ya IMAINI then hayo mengine waachie wanadunia mkuu.Kama siyo halisi na halisi ilishachomwa, Sasa tunajuaje hii ya sasa ni feki kiasi gani?
Mkuu tunazungumzia Sanamu ya Yesu wala siyo picha ya Yesu!! Unajua tofauti ya Sanamu na Picha?Wewe kweli hamnazo! Ni mkristo gani aliwahi kuambiwa kuwa hii ndiyo picha ya Yesu?
Ufahamu kuwa, kwa makanisa yote ya Kikristo, hakuna hata moja ambalo waumini wake wamewahi kuambiwa kuwa hii ndiyo picha ya Yesu. Mafundisho yaliyopo kwa wakristo wote ni kuwa hakukuwahi kuwepo picha ya Yesu, wala ya amusa, wala ya Ibrahim, wala ya mtume yeyote katika wale 12, wala ya Pilato, kwa sababu wakati huo hakukuwa na tekinolojia ya upigaji picha. Picha yoyote ya Yesu, Mitume, Pilato, Musa, Isaka, Bikira Maria, Yosefu, au Ibrahim, au malaika, ni za picha za kuelezea tu tukio, lakini siyo picha zinazowakilisha sura au maumbile yao halisia yalivyokuwa. Zinapowekwa hizo picha ni kwaajili tu ya kumtaka mtu atengeneze hisia jinsi ilivyokuwa. Watengenezaji pucha wanatengeneza hizo picha kwa kuzingatia tu maelezo yaliyopo kwenye biblia, ni picha tu za kutengenezwa kwa lengo lililokusudiwa, lakini siyo uwakilishi wa sura na maumbile halisia. Hata msalaba tu aliosulibiwa Kristo Yesu, haukuwa na ufanano halisia. Wataalam wa maandiko ya kale wanasema msalaba huo ulikuwa ni wa miti na siyo mbao zilizorandwa, hata misumari ya wakati huo haikuwa kama hii tunayoitumia leo.
Mkuu andika vizuri tukuelewe basi? Unafikiri Misri ilikuwa ya Waarabu? Misri ni ya Waafrika, Waarabu ni Wahamiaji wa juzi kama ilivyo USA ni ya Red Indians, Wazungu wamehamia miaka ya karibuni. Pia Australia ni ya Waafrika.acha uongo unakanusha hii iliyopo sio original kwasababu inakupinga au??....................yan waarabu wa misri wawe na torati original ichomwe moto ipotee yote afu wayahud na wakristo wasiwe nazo orginal?
unaikataa ii iliyopo kwa kusema nifake na unadaì kuna original na hujawah ioma wala kuisoma na wala hauna et unasema imechomwa moto
na aliyskwambia imwzcjomwa moto naez hajui vilivyoandikwa ndani....kobazi bhn
Sasa hizo sanamu za kufikirika ndio zinakushughurisha?Mkuu tunazungumzia Sanamu ya Yesu wala siyo picha ya Yesu!! Unajua tofauti ya Sanamu na Picha?
aiseee mwisho wa mjadala.Mkuu andika vizuri tukuelewe basi? Unafikiri Misri ilikuwa ya Waarabu? Misri ni ya Waafrika, Waarabu ni Wahamiaji wa juzi kama ilivyo USA ni ya Red Indians, Wazungu wamehamia miaka ya karibuni. Pia Australia ni ya Waafrika.