Nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi?

Kwenye Bible ya sasa kuna vitabu 14 viliondolewa ambavyo vilikuwa kwenye Bible ya kwanza ambqyo ndio tunasema ni OG. Hicho ni kimojawapo cha kusema hii ya sasa siyo OG.
 
Kwenye Bible ya sasa kuna vitabu 14 viliondolewa ambavyo vilikuwa kwenye Bible ya kwanza ambqyo ndio tunasema ni OG. Hicho ni kimojawapo cha kusema hii ya sasa siyo OG.
yaan bwana allah anaruhusu neno lake la njil na torati na zaburi kuaribiwa lkn huyo huyo allaj haruhusu neno lake la quruan kuchakachuliwa.
 
yaan bwana allah anaruhusu neno lake la njil na torati na zaburi kuaribiwa lkn huyo huyo allaj haruhusu neno lake la quruan kuchakachuliwa.
Tunazungumzia uhalisia siyo udini mkuu. Njoo na hoja ili tuzichambua kwa manufaa ya wote.
 
Sasa hizo sanamu za kufikirika ndio zinakushughurisha?
Mimi hata hazinishughulishi mkuu bali tunaongelea uhalisia kwa kuwa kuna waumini wanaamini kuwa hizo ni Sanamu za Yesu na viongozi wa dini hawawaongozi vizuri waumini wao hiyo ndio issue mkuu.
 
Sawa . Ila kabla ya kuchomwa si vilikuwa tayar vimetafsiriwa kwa Lugha nyingne?.

Au hivi vya sasa vimetoka wap?.

Vilivyochomwa vilikuwa vina habar gan tofaut? Ambayo sasa haipo au ipi imeongezwa haikuwepo?.
Vitabu 14 havipo kwenye Biblia ya sasa wakati ile ya Mwanzo Vilikuwepo hiyo ni moja ya sababu ya kutokuwa OG zipo na zingine kibao.
 
Hizo shutuma za Tora na injili amezitoa nani? Ana ushahidi gani? Akisema Tora na injili zime chakachuliwa basi awe na original copies ili tuweze kufananisha.
 
Msiwe mnaokoteza habari zisizo na uthibitisho. Nani alikuambia kuwa Injiliniliandikwa Kirumi na Kiebrania?

Vitabu vya agano la kale viliandikwa kwa lugha mbili. Na hiyo iliitwa Tora. Hiyo Tora iliyoandikwa kwa Kiebrania ilikuwa na vitabu 36. Tora iliyoandikwa kwa Kigiriki ilikuwa na vitabu 46. Lakini kama ya kuandikwa, Tora kwa miaka mingi iliishi kwenye kumbukumbu za watu na kusimliwa toka kizazi kimoja hadi kingine, mpaka ilipokuja elimu ya kuandika.

Agano Jipya, Waandishi wale wote wanne, ni injiliya Mathayo pekee ndiyo iliandika kwa Kiebrania, wengine wote waliandika kwa Kigiriki, na zote, zilitafsiriwa kwenda kwenye lugha zote kubwa za wakati huo, na hasa kilatini.

Maandiko ya Agano la kale, ya zamani kabisa ni ya kitabu cha Hesabu na walawi. Maandiko haya yaliyopo ni ya tangu miaka 600 kabla ya Kristo.
ambavyo bado vipo
 
Vitabu 14 havipo kwenye Biblia ya sasa wakati ile ya Mwanzo Vilikuwepo hiyo ni moja ya sababu ya kutokuwa OG zipo na zingine kibao.

Viorodheshe hivyo vitabu.
 
Mimi hata hazinishughulishi mkuu bali tunaongelea uhalisia kwa kuwa kuna waumini wanaamini kuwa hizo ni Sanamu za Yesu na viongozi wa dini hawawaongozi vizuri waumini wao hiyo ndio issue mkuu.
Una uelewa wowote wa carbon 14?
 
Bible iliandikwa kabla ya 3rd BCE. Genesis iliandikwa mapema kabisa na Moses then ikaja kuwa complied baadae pia kuna kitabu cha Adam na Eve ambacho hakikuwekwa kwenye Bible.
 
Mkuu na Genesis?
 
Bible iliandikwa kabla ya 3rd BCE. Genesis iliandikwa mapema kabisa na Moses then ikaja kuwa complied baadae pia kuna kitabu cha Adam na Eve ambacho hakikuwekwa kwenye Bible.
Una uelewa wowote kuhusu Hypocrypha/pseudepigrapha books?
Umewahi kuiona Biblia ya Kiorthodox?
Unajuwa tofauti ya (Canon) ya Biblia ya Kikatoliki na Kiprotestant?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…