Shida mmemezeshwa uongo, halafu hamuufanyii utafiti, wapinzani wote wa biblia au wanaosema biblia imebadilishwa hakuna hata mmoja anayejibu hoja ,Huwa ni propaganda tu kama hizi unazoleta hapaTunazungumzia uhalisia siyo udini mkuu. Njoo na hoja ili tuzichambua kwa manufaa ya wote.
Hata Mimi Nina shauku sana ya kuona hivyo vitabu.Nami niketi hapa kukiona hicho kitabu
Inaonekana wewe umelishwa propaganda ila kujitetea huweziVitabu 14 havipo kwenye Biblia ya sasa wakati ile ya Mwanzo Vilikuwepo hiyo ni moja ya sababu ya kutokuwa OG zipo na zingine kibao.
Huyo jamaa anaookota propaganda za kina mazinge analeta hapaMsiwe mnaokoteza habari zisizo na uthibitisho. Nani alikuambia kuwa Injiliniliandikwa Kirumi na Kiebrania?
Vitabu vya agano la kale viliandikwa kwa lugha mbili. Na hiyo iliitwa Tora. Hiyo Tora iliyoandikwa kwa Kiebrania ilikuwa na vitabu 36. Tora iliyoandikwa kwa Kigiriki ilikuwa na vitabu 46. Lakini kama ya kuandikwa, Tora kwa miaka mingi iliishi kwenye kumbukumbu za watu na kusimliwa toka kizazi kimoja hadi kingine, mpaka ilipokuja elimu ya kuandika.
Agano Jipya, Waandishi wale wote wanne, ni injiliya Mathayo pekee ndiyo iliandika kwa Kiebrania, wengine wote waliandika kwa Kigiriki, na zote, zilitafsiriwa kwenda kwenye lugha zote kubwa za wakati huo, na hasa kilatini.
Maandiko ya Agano la kale, ya zamani kabisa ni ya kitabu cha Hesabu na walawi. Maandiko haya yaliyopo ni ya tangu miaka 600 kabla ya Kristo.
ambavyo bado vipo
Hivi mnaona wote humu ni wajinga ?Ukisoma kwenye vitabu vya paulo (aka agano jipya) utaona wazi kuwa wanafunzi halisi wa Yesu walikuwa wakiwindwa na kuuawa. Huku kiongozi wa mauaji akiwa ni Paulo mwenyewe.
Imani halisi aliyofundisha Yesu ilikuwa ikionekana ni Haramu mbele ya Warumi na vibaraka wao wa kiyahudi.
kwa mujibu wa Quran haipo kutokana na mikono ya uongo ya waandishi wenu.sawa kobazi tunaomba uiweke hapa iyo injili halisi na sisi tujisomee kama ww ulivosoma ukajua kuwa ayo hayakuwemo..............tuwekee hapa hapa
afu inaonekana hujui hata maana ya injili ngoja ni kusaidie
injili n habari njema za kuzaliwa kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.
Nakala halisi za vitabu hivi vitatu...Taurati, Zabur na Injili zipo kwa Mungu.sawa kobazi tunaomba uiweke hapa iyo injili halisi na sisi tujisomee kama ww ulivosoma ukajua kuwa ayo hayakuwemo..............tuwekee hapa hapa
afu inaonekana hujui hata maana ya injili ngoja ni kusaidie
injili n habari njema za kuzaliwa kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.
allah ni dhaifu sana anajitunzia nakala za zaburi injili na torati za nn wakat duniani hazipo original..............Nakala halisi za vitabu hivi vitatu...Taurati, Zabur na Injili zipo kwa Mungu.
Ndani ya Agano la kale na hili Jipya yapo maneno ya Mungu, maneno ya waandishi, tafasiri za wanazuoni, maneno ya manabii wa uongo Paulo na genge lake n.k ndio maana unakuta contradictions nyingi, upotoshaji mkubwa n.k
Sure lo
sasa hii quruan ya juz mbona inasema tukawaulize wakristo na mayahud waliopewa vtabu......??kwa mujibu wa Quran haipo kutokana na mikono ya uongo ya waandishi wenu.
Pia soma Yeremia 8:8
Kwanza ulitakiwa ujue jambo moja, ishara ya kutokuwepo kwa matini ya Injili ni kutokuwepo Injili katika lugha ya Yesu.
Injili kusemwa au ujumbe wa Yesu kusemwa umeandikwa au kutafsiriwa kwa lugha ya Kiebrania, mlitakiwa mtu ambie hao wakipata wapi hayo maandiko na walijuaje kama ni ujumbe wa Yesu.
Kwa uzito wa ujumbe wa bwana Yesu ilitakiwa uwe kama alivyousema, na mara nyingi alikuwa akizungumza kwa kutumia mifano "parables", hao wanafunzi wake walikuwa hawamfahamu vizuri sasa usiniambie ujumbe wake utafisiriwe kwenda lugha nyingine na kwa watu wengine, unafikiri utafahamika vizuri?Kama siyo lugha aliyoizungumza Yesu maana yake kuwa siyo kweli?
Hapana sijazisoma.
Unajua kuwa Quran Haina hata manuscript moja tu ya karne ya 7 au 8Kitabu pekee kilichobaki katika uhalisia wake kwa miaka 1400 ni Quran tu
Kwanini Quran inasema mkaulize kwa waliopewa kitabu?kwa mujibu wa Quran haipo kutokana na mikono ya uongo ya waandishi wenu.
Pia soma Yeremia 8:8
Mungu alivichukua lini na mwaka gani ?Nakala halisi za vitabu hivi vitatu...Taurati, Zabur na Injili zipo kwa Mungu.
Ndani ya Agano la kale na hili Jipya yapo maneno ya Mungu, maneno ya waandishi, tafasiri za wanazuoni, maneno ya manabii wa uongo Paulo na genge lake n.k ndio maana unakuta contradictions nyingi, upotoshaji mkubwa n.k
Kwahiyo injili original ipo wapi?Kwa uzito wa ujumbe wa bwana Yesu ilitakiwa uwe kama alivyousema, na mara nyingi alikuwa akizungumza kwa kutumia mifano "parables", hao wanafunzi wake walikuwa hawamfahamu vizuri sasa usiniambie ujumbe wake utafisiriwe kwenda lugha nyingine na kwa watu wengine, unafikiri utafahamika vizuri?
Na mfumo ya lugha ya kiaramia ni tofauti na lugha ya kigiriki, kwani lugha ya kiaramia ni lugha ya vitendo (picha) wakati lugha ya kigiriki ni lugha ya dhana (kifalsafa).
Ukisoma Matayo 5:17-18
17“Do not think that I have come to abolish the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but to fulfill them. 18For truly, I say to you, until heaven and earth pass away, not an iota, not a dot, will pass from the Law until all is accomplished. 19Therefore whoever relaxes one of the least of these commandments and teaches others to do the same will be called least in the kingdom of heaven, but whoever does them and teaches them will be called great in the kingdom of heaven. 20For I tell you, unless your righteousness exceeds that of the scribes and Pharisees, you will never enter the kingdom of heaven.
17“Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitakapo toweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. 19Kwa hiyo ye yote atakayelegeza hata mojawapo ya amri ndogo kuliko amri zote na akawafundisha wengine kufanya hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika Ufalme wa mbinguni. Sikuja kuzifuta bali kuzitimiza. 18Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii ataitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni. 20Kwa maana nawaambieni, ikiwa haki yenu haitazidi haki ya waandishi wa sheria na Mafari sayo, hamtaingia katika Ufalme wa mbinguni kamwe.”
Hivyo kwenye maneno ya Mungu hutakiwi kuongeza wala kupunguza hata herufi moja, sembuse kubadilisha maana kabisa.