Nani Amsaidie Max Melo kusoma PM?

Nani Amsaidie Max Melo kusoma PM?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Screenshot_2018-07-25-18-32-36-779_com.instagram.android.jpg
 
Hivi hiyo pm ipoje wakuu.i think kwangu haipo,sijui kuitumia pm
 
Ndio maana ya kuwa CEO usione watu wanapata heshima duniani changamoto kama hizo hazikwepeki.
 
Nusu ya message hapo ni za watu wasiojulikana! [emoji23]
 
Hivi hiyo pm ipoje wakuu.i think kwangu haipo,sijui kuitumia pm
Private message au inbox kwa Kiswahili ni kikasha cha ujumbe/mawasiliano ya watu wawili.
Sio lazima kiandikwe kwa maneno mkuu [emoji23]
Mara nyingi kikasha hicho huonekana kwa alama ya kabox ka ujumbe.
Kwani hujawahi kutuma au kutumiwa meseji huku?
 
I hope nyingi sio za wadada hapo. Za maana kama zetu huwa zinajibiwa hapo hapo 🙂🙂🙂😉
 
Back
Top Bottom