F fisadimpya Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 191 Reaction score 103 Aug 1, 2022 #1 Nani amwambie huyu dogo ukurasa wake muonekano mpya hauvutii,hauna habari za maana tena
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Aug 1, 2022 #2 Ukimwambia inatosha
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,053 Reaction score 2,757 Aug 1, 2022 #3 Washa VPN ukajipe raha mwenyewe mkuu makasiriko hayakusaidii habari gani unazotaka wewe?? Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Washa VPN ukajipe raha mwenyewe mkuu makasiriko hayakusaidii habari gani unazotaka wewe?? Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 1, 2022 #4 Mtoto halali na hela said: Ukimwambia inatosha Click to expand... thread closed
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Aug 1, 2022 #5 Habari gani za maana utazipata kwa Millard Ayo?