Nani ana cheti feki hapa?

Mkuu hilo jibu mbona umelilazimisha sana?
 
apo umechemka mkuu fuata kanuni ya magazijuto then utapa jibu sahihi,jibu lake ni 9 let proove it

6/2(2+1)=
6/2*3 then
6/2=3 then
3*3 equal to 9
Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
 
Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
Mkuu wewe ndio upo sahihi jibu ni moja usikubaliane na huyo kenge najua umempuuza tu,kuepuka kujibishana nae.
 
wrong mkuu, ref MAGAZIJUTO
 
Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani

6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
 
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani

6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
Tehhhh tehh
Niwe na msimamo kama yule mwenye kichwa chenye nundu isiyokuwa na nywele mbele, mwisho mseme sishauliki.
 
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani

6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
Ukishaondoa mabano unaanza kugawa kwanza MA (MAbano) GA (GAwanya). Ukifuata mfumo huo lazima jibu lije 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…