sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Sifa za kijinga!!Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire
Anamiliki gari aina ya Opa, ana viduka vya nguo za china, amepanga nyumba sinza, alikuwa ana mmiliki miss tanzania Bi wema sepetu...wadau wengine endelea kumwaga utajiri wake. Teh teh
Unajua maana ya billionaire?
Bongo bwana eti mtu akiwa na tumilioni hata 50 tu twa madafu,tayari wanamwita tajiri ona sasa kasharobaro ka watu kanatuhela twa kununulia skin jeans,tayari wanakaita billionea mwe!!!!!