Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
Acha kutuletea vichekesho huku javini!!!! :lol: :lol: :lol: :lol:
 
Au kwa sababu anaendesha Opa mbona hata mimi namiliki......teh teh teh I'm just kiddin'
 
Hata baada ya kulipa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mfululizo? Sizani! Halafu kwa kuongeza tu hata ubillionair kugusa wala kunusa bado. .
 
Anamiliki gari aina ya Opa, ana viduka vya nguo za china, amepanga nyumba sinza, alikuwa ana mmiliki miss tanzania Bi wema sepetu...wadau wengine endelea kumwaga utajiri wake. Teh teh

rais wa masharobaro na wasafi mshahara analipwa jobless corner
 
Au bilionea wa mapenzi kwa mademu wa kibongo wasiojua NO
 
Bilionea wa Zim dollars labda jamani.

Maana kuna muhindi mmoja alijitapa kwamba yeye ni trillionaire, watu wakafikiri anaongelea US D, kumbe anaongelea Indian Rupees.

Kwani si ukishika $750,000 tu ushakuwa bilionea bongo? Watu wanatumia Reykjavik weekend, au wanakodi kisiwa Bahamas hapo kwa wiki, sasa bilionea wa bongo akijiita "tajiri" na hawa wajiitaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom