Nani ana Jogoo au mayai ya kutotolesha kuku aina ya WHITE LEGHORN aniuzie??

Nani ana Jogoo au mayai ya kutotolesha kuku aina ya WHITE LEGHORN aniuzie??

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
Wakuu,

Nahitaji majogoo au mayai ya kutotolesha ya kuku aina ya WHITE LEGHORNS. Mwenye chochote kati ya viwili hivi naomba tuwasiliane.

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom