Nani ana msisimko zaidi?

Nani ana msisimko zaidi?

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
Hii ni kwa wale wanaofahamu tu!!Km hujui piga kimya...Hey wanajamvi mi nina swali la kimapenzi ambalo ni- Hivi ni mwanaume gani ana msisimko mkali wa kimapenzi kati ya aliyeenda suna na yule ambaye hajenda suna?Na ni zipi faida za kwenda au kutokwenda suna?Vilevile ambao hawajaenda suna kon**mu wanavaaje?Majibu tafadhali...
 
Jestina....Mada zangu zina nini?
 
ni yule ambye hajaenda suna kwani c linatekenya tekenya huko ndani kondom c lazima kwao kwani ukitaka utumie hiyo kwa raha lazima uende suna otherwise itakuwa inakuboa tu
 
ambae hajaenda suna mana yake haitaji ndomu, si anakua na ndom ya asili. Sasa hizo ndom za kichina za nin tena?
 
Mtu mzima kondom ya nini sas,kujilinda na magonjwa analivuta mbele kidogo analifunga na uzi wa kushonea viatu,protection ya bila gharama.
 
Hii ni kwa wale wanaofahamu tu!!Km hujui piga kimya...Hey wanajamvi mi nina swali la kimapenzi ambalo ni- Hivi ni mwanaume gani ana msisimko mkali wa kimapenzi kati ya aliyeenda suna na yule ambaye hajenda suna?Na ni zipi faida za kwenda au kutokwenda suna?Vilevile ambao hawajaenda suna kon**mu wanavaaje?Majibu tafadhali...
Naona maswali mengine majibu yake unayo mwenyewe. Kwanza kutokana na maelezo yako naweza kubaini wazi kwamba wewe hujaenda suna. Sasa tuambie msisimko wako ni mkali kiasi gani wakati unafanya mapenzi? Pia tuambie kon**mu huwa unavaaje?
 
Jsaud,samahani sana najua nimekugusa mno,kwa swali lako unaonekana we ni g***i au uliye naye ndio yupo hivyo.Ukweli cku zote unauma,samahani sana mi niliuliza swali 2 wala sikuwa na nia mbaya nawe sawa ndugu?
 
mie napita tu, au na wanwake tunaruhusiwa kuchangia?
 
hatuwezi kutoa jibu mpaka tuwe tumepitia zote hizo aina, labda wenzangu mie sina jibu, but meanwhile, im enjoying my ride na hii aina niloyonayo
 
Back
Top Bottom