Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 501
- 788
Wana jf natumai wote mu wazima. Naomba kuuliza kitu kuhusu uelewa wa master programme na undergraduate programme, Kwa mfano mtu amesoma bachelor ya information system na Hana master ya information system, mwingine kasoma master ya information system ila Hana bachelor ya information system, na ikumbukwe mtu wa undergraduate kasoma kwa miaka mitatu na mtu wa master kasoma miaka miwili, Kati ya hawa wawili yupi ana uelewa zaidi wa programme husika kuhusu mwingine?