Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

Hali si shwari,matukio ya moto miezi ya karibuni imezidi

Moto unaenea nchi nzima kwa kasi ya ajabu ,ilikuwa kwenye taasisi sasa imehamia maeneo ya kibiashara

Kama huhujumiwi ni bahati,unda Tume mara moja
 
Halafu kuna watu wanafurahia kufarik kwa JPM haya sawa tutamkumbuka Sana'a huu uongozi wa sahz hamna kitu
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Haya matukio yanaumiza na kufikirisha sana
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Usiku wa kuamkia leo maduka yameugua Katoro - Geita. Kuna hotel Zanzibar nayo imeungua leo, moto umekuwa moto
 
Compliment Events hizo.
Ni pale ambapo upande wa Pili/Adui anapoamua kufanya tukio linalofanana na lile ambalo hasimu wake anafanya kwa wakati huo dhidi ya Jamii fulani kwa wakati huo ili kukoleza moto wa Kuwagombanisha. Kwa mfano sasa hivi Simba wanagombana Sana na Manara. Ikitokea mhuni mmoja akamdhuru Manara jamii nzima inaweza amini kwamba ni simba Sc wamehusika.
Ukija kwa suala la Wamachinga lina sura ya aina hiyo ili kufanya wapiga kura/wamachinga wahusishe tukio la uvunjanji wa vibanda vyao, kuwahamisha nk basi hata anayechoma vibanda ni yule yule kuuuumbe ni THIRD PARTY!
Zinaweza kuwa Nchi Hasimu.
Vyama hasimu vya kisiasa.
Kundi la Wamachinga lililoumizwa na mkakati unaoendelea.
Kikundi cha Kihalifu au
Serikali yenyewe ili kurahisisha mkakati wake itakuwa jibu lenye uwezekano wa 5% au chini zaidi.
 
Mboe na Genge lake la kihalifu ndio kazi yao hiyo.
Mboe ana dhambi sana kwa kuwafundisha wafuasi wake kuwa na tabia za kigaidi.

Kwa sasa Uhalifu wowote ule ni vyema Jeshi la Polisi wakaanza na Wafuasi wa mboe, maana hawa jamaa ni wahalifu. kama mwenyekiti wao alifikia levo ya Ugaidi sasa wafuasi wake watakuwaje.
 
wafuasi wa mboe lazima wachunguzwe.
jeshi la polisi lianze kwanza na hao wafuasi wa mboe.
Sisi Raia wema tutoe taarifa mara tunapoona kuna viashiria vya kihalifu.
mboe alikuwa anawatumia sana vijana kufanya vitendo vya kihalifu.

mboe alisha pandikiza chembe chembe za kihalifu kwa wafuasi wake, hivyo wafuasi wake ni watu hatari sana, wanapaswa kufuatiliwa nyenendo zao hadi chooni.
Kabisaaa kijani kibichi oyeeeeee ,unaona umesahau Mbowe kazuia na mvua kunyesha , kaleta na mgao wa umeme na maji.
 
Unaandika kama Musiba
wafuasi wa mboe lazima wachunguzwe.
jeshi la polisi lianze kwanza na hao wafuasi wa mboe.
Sisi Raia wema tutoe taarifa mara tunapoona kuna viashiria vya kihalifu.
mboe alikuwa anawatumia sana vijana kufanya vitendo vya kihalifu.

mboe alisha pandikiza chembe chembe za kihalifu kwa wafuasi wake, hivyo wafuasi wake ni watu hatari sana, wanapaswa kufuatiliwa nyenendo zao hadi chooni.
 
Bashite alikuwa anasema Flimani Mboe[emoji23]
wafuasi wa mboe lazima wachunguzwe.
jeshi la polisi lianze kwanza na hao wafuasi wa mboe.
Sisi Raia wema tutoe taarifa mara tunapoona kuna viashiria vya kihalifu.
mboe alikuwa anawatumia sana vijana kufanya vitendo vya kihalifu.

mboe alisha pandikiza chembe chembe za kihalifu kwa wafuasi wake, hivyo wafuasi wake ni watu hatari sana, wanapaswa kufuatiliwa nyenendo zao hadi chooni.
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .

Ni spontaneous reactions kwa sababu ya joto, else UMEME
 
Na kwanini unazuka kwa Kuvizia mara Dar es Salaam mara Morogoro mara Mwanza mara Mbeya mara Morogoro na umeanza kuwaka baada tu ya Tamko la mwisho kwa Wamachinga kuhama katika maeneo siyo halali waliyokuwepo na waliyoyazoea kwa Kusapotiwa na Viongozi wa Kisiasa nchini?
Umetoa point sana hii.

Hapa lazima kuwe na cindicate ya wafanya biashara wakubwa waliokuwa na chuki na wamachinga.

Hasa waliozibwa midomo wakakosa pa kupumlia kwenye awamu ya5!

Kuanzia waliovunja vibanda usiku kwa kuvizia na wanaochoma, lengo lao ni moja na ni wale wale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom