MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,747 Reaction score 2,977 Nov 20, 2021 #61 0ozg Tz said: Hili la machinga kwasasa linafanywa ili kumchafua mashungi,skutarajia kuona machinga wa huku kwetu sengerema nao wanaondolewa wakat hawakuwa wanaziba njia za watembea kwa miguu au barabara Click to expand... Anajichafua mwenyewe
0ozg Tz said: Hili la machinga kwasasa linafanywa ili kumchafua mashungi,skutarajia kuona machinga wa huku kwetu sengerema nao wanaondolewa wakat hawakuwa wanaziba njia za watembea kwa miguu au barabara Click to expand... Anajichafua mwenyewe
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Nov 20, 2021 #62 ni hali ya tabia nchi
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Nov 20, 2021 #63 STUNTER said: Mtoa mada umeuliza swali lakini ni kama tayari umekuja ukiwa na majibu yako kichwani... Click to expand... Acha porojo wewee jibu swali na ujikite kwenye mada iliyopo mezani
STUNTER said: Mtoa mada umeuliza swali lakini ni kama tayari umekuja ukiwa na majibu yako kichwani... Click to expand... Acha porojo wewee jibu swali na ujikite kwenye mada iliyopo mezani
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Nov 20, 2021 #64 Mwalaye said: Kula gadi. Usiku usitoke. Jifunike blanketi wasikuone, umuone mbaya wako? Click to expand... Na joto hili lote unajifunika na blanket?
Mwalaye said: Kula gadi. Usiku usitoke. Jifunike blanketi wasikuone, umuone mbaya wako? Click to expand... Na joto hili lote unajifunika na blanket?