makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kun atapewa soksi za king, nadhani ushatambua nani atachukua buti, unaposema kun hawezi utuambie nani unadhani atavaa buti ya dhahabuAguero sidhani sababu anaweza kuw anachezeshwa match chache. Kama city atafanikiw kuingia nusu final ya champions league
Kane msimu huu kuna hatihati asicheze tena labda utamuona world cupNi Ustaadh Salah au Kane,
Huyo Sergio Kun muweke kando
Umetumia staili ya pekee kutoa utabiri wako wa hii mada,tumekuelewaMo Salah aje Madrid au man u ....liver wanamfuja pale
Ni majeruhi au?Kane msimu huu kuna hatihati asicheze tena labda utamuona world cup
Ni Ustaadh Salah au Kane,
Huyo Sergio Kun muweke kando
Huyo aguero hata magoli 28 ya mo salah hawez kufikisha, tena sio kwa msimu huu tu, msimu wowote hawez kufikisha. Kiatu ni cha Mo salah tatizo watu wanachambua kwa chuki baadala ya hali halisi
Aguero kachukua kiatu mara moja msimu wa 2014 / 2015. Hajawahi kufikisha goli 28 kwa msimu.Aguero mara ngapi kachukua kiatu mbona hushangai? So 28 kitu gani kwake..angelikuwa hakupata majeruhi angescore zaidi hizo unazozitaja
Binafsi nimefurahi mno iende kwa SALAH
Aguero kachukua kiatu mara moja msimu wa 2014 / 2015. Hajawahi kufikisha goli 28 kwa msimu.