Nani anachukua ufungaji bora epl??

Nani anachukua ufungaji bora epl??

Aguero sidhani sababu anaweza kuw anachezeshwa match chache. Kama city atafanikiw kuingia nusu final ya champions league
Kun atapewa soksi za king, nadhani ushatambua nani atachukua buti, unaposema kun hawezi utuambie nani unadhani atavaa buti ya dhahabu
 
Mo Salah aje Madrid au man u ....liver wanamfuja pale
 
Huyo aguero hata magoli 28 ya mo salah hawez kufikisha, tena sio kwa msimu huu tu, msimu wowote hawez kufikisha. Kiatu ni cha Mo salah tatizo watu wanachambua kwa chuki baadala ya hali halisi

Aguero mara ngapi kachukua kiatu mbona hushangai? So 28 kitu gani kwake..angelikuwa hakupata majeruhi angescore zaidi hizo unazozitaja

Binafsi nimefurahi mno iende kwa SALAH
 
Aguero mara ngapi kachukua kiatu mbona hushangai? So 28 kitu gani kwake..angelikuwa hakupata majeruhi angescore zaidi hizo unazozitaja

Binafsi nimefurahi mno iende kwa SALAH
Aguero kachukua kiatu mara moja msimu wa 2014 / 2015. Hajawahi kufikisha goli 28 kwa msimu.
 
Back
Top Bottom