kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Ni vita ndani ya epl msimu huu..
Wanaume watatu, Mo salah, Harry Kane na Sergio Aguero wanaonekana kuwa wa moto wote wakiwa na uchu wa kichukua kiatu cha dhahabu.. Salah kutoka Liverpool akiwa na goli 24 sawa sawa kabisa na Kane kutoka Tottenham huku Aguero wa Man City akiwa nyuma na ashapachika nyavuni magoli 21..
Kitendawili kinabaki, je unafikiri nani anakwenda kuwa Mfalme wa kupachika mabao epl msimu huu??