Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma?

Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma?

haya mapenzi ya siku hizi uwizi mtupu watu pesa ,mtazamo,anatoa nini ,kazi ipo:Cry:sijui tutafika
 
pole kwa kifo mamushka.Anaelipwa ni yule anayefunga magoli mengi na anacheza vizuri kwa mfano MESSI
 
Onyesha mchanganuo kwanza! usikute gharama unazoongelea ni kalaki kamoja! kuna kiwango unatakiwa wewe buzi ulipe
 
Back
Top Bottom