Chauro JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 2,968 Reaction score 1,478 Jan 16, 2011 #41 haya mapenzi ya siku hizi uwizi mtupu watu pesa ,mtazamo,anatoa nini ,kazi ipo:Cry:sijui tutafika
N Ndevu mbili JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 379 Reaction score 41 Jan 18, 2011 #42 Chauro said: haya mapenzi ya siku hizi uwizi mtupu watu pesa ,mtazamo,anatoa nini ,kazi ipo:Cry:sijui tutafika Click to expand... Mtazamo,pesa....hayo yote ndio chanzo cha maendeleo vile nionavyo.
Chauro said: haya mapenzi ya siku hizi uwizi mtupu watu pesa ,mtazamo,anatoa nini ,kazi ipo:Cry:sijui tutafika Click to expand... Mtazamo,pesa....hayo yote ndio chanzo cha maendeleo vile nionavyo.
R R_chuggani Member Joined Nov 29, 2010 Posts 18 Reaction score 1 Jan 18, 2011 #43 pole kwa kifo mamushka.Anaelipwa ni yule anayefunga magoli mengi na anacheza vizuri kwa mfano MESSI
Trustme JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,169 Reaction score 349 Jan 18, 2011 #44 Onyesha mchanganuo kwanza! usikute gharama unazoongelea ni kalaki kamoja! kuna kiwango unatakiwa wewe buzi ulipe
Onyesha mchanganuo kwanza! usikute gharama unazoongelea ni kalaki kamoja! kuna kiwango unatakiwa wewe buzi ulipe