TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 272
ni ff si unamuona alivyo alivyo
aiseeeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ff si unamuona alivyo alivyo
Kama unaamini Mungu yupo , jua kua na shetani nae yupo hence uchawi upo<br />
<br />
Kazi kweli kweli...
Haya mambo yaki shirikina..
Ndo siyaamini kabisaa...
Mpe pole rafiki yako....
<br />Kama unaamini Mungu yupo , jua kua na shetani nae yupo hence uchawi upo
kweli Afro d mimi haya mambo siyaamini kabisa .. wanyoane huko huko wanaoaminiupuuzi ....
nini nawe uliwahi
kunyolewa lakini hujui alie kunyoa ...
khaaaaa.. upotofu tuuuu
Labda kama mnyoaji ni SI hapo hamna shida ila si mtu mwingine ntauaaTena wewe utakuja kunyolewa sehemu zako nyeti.
TF--fellow tablets🙂nimeipenda sana avator yako aisee...aiseeeeeeeeee
pole sana BB ..walikunyoa sehemu gani? shule za boarding nini ulikuwayapo hayo mambo mie walininyoa ma.... Looo watu wabaya hawa, kuna dada mmoja anakatwaga makucha
never say never