Chizi Fureshi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 1,718 Reaction score 461 Feb 6, 2014 #1 Ok, hakuna ubishi na tunaelekea kupata katiba mpya. Mh. Dr. J.M.Kikwete hana tatizo na jambo hili na kwa mkutadha huu toa maoni yako kabla na baada ya uteuzi wa wabunge wa katiba mpya. Nani anafaa kuliongoza?
Ok, hakuna ubishi na tunaelekea kupata katiba mpya. Mh. Dr. J.M.Kikwete hana tatizo na jambo hili na kwa mkutadha huu toa maoni yako kabla na baada ya uteuzi wa wabunge wa katiba mpya. Nani anafaa kuliongoza?