Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 461
Ok, hakuna ubishi na tunaelekea kupata katiba mpya. Mh. Dr. J.M.Kikwete hana tatizo na jambo hili na kwa mkutadha huu toa maoni yako kabla na baada ya uteuzi wa wabunge wa katiba mpya. Nani anafaa kuliongoza?