Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kwani ni mkatoliki?Dotto Mashaka Biteko
Mbowekufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Kumbe ni lazima awe mkatoliki? Nipe ni kifingu gani cha Katiba kinataka awe mkatoliki?Kwani ni mkatoliki?
Au amteue Simae yule mzanzibar mwenzieShaka Hamdu Shaka au Makame Mbarawa. Kiufupi amteue Mzanzibari mwenzake ili tujue moja
Dotto Mashaka Biteko
Dotto na zile trip za Zanzibar kwenye functions za Kizimkazi pamoja na kuwa observed kwenye protocols za Ivi karibu Kuna chances za kuwa yeye au sio basi Prof Palamagamba Kabudi ndio ajae
Aingie ccm halafu anapewa umakamu wa Raisi.. hivyo ndivyo CCM inaridhiana na chadema halafu mbowe anamshughulikia Lissu huko humo gerezani...Siasa ni taabu tupu...Mbowe
Ukiona mpaka mgombea mwenza wake amemkimbia, ni dhahiri wahuni wamemuingiza choo cha kiume.Au amteue Simae yule mzanzibar mwenzie