Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoivo[emoji106][emoji106][emoji106]Kwa hyo leo huchenji buku kwa bia za siku moja?? hahahah
Usisahau Yule kiungo mkabaji WA znzKwa upande wangu ni John Bocco aliweza kucheza kwa ufanisi na aliweza ku assist almost magoli yote mawili ukiacha lile la penalt.
Hajawika kabisa alikua anatetea
John bokoKwa upande wangu ni John Bocco aliweza kucheza kwa ufanisi na aliweza ku assist almost magoli yote mawili ukiacha lile la penalt.
Hamna cha kuwashukuru. Wao pia walikuwa na nafasi wameshindwa. Ni juhudi za stars.Pamoja na yote tuwashukuru sana Cape Verde kwa kuwakazia Lesotho la sivyo hata tungeshinda kwa goli 100 tusingeenda popote! Kuhusu mechi ya leo mi naona timu nzima ilicheza vizuri! Aidha, viongozi wajifunze kuwa hamasa inaanza tangu mechi ya kwanza sio kusubiri mwishoni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani sasa huko?
Kweli mkuu.. wanakuja mwishoni kama vikojozi bhana.Pamoja na yote tuwashukuru sana Cape Verde kwa kuwakazia Lesotho la sivyo hata tungeshinda kwa goli 100 tusingeenda popote! Kuhusu mechi ya leo mi naona timu nzima ilicheza vizuri! Aidha, viongozi wajifunze kuwa hamasa inaanza tangu mechi ya kwanza sio kusubiri mwishoni!
Sent using Jamii Forums mobile app
JOHN BOCCO... Kapteni wa Simba sc.
ametengeneza chance 2 za magoli.
Hakuna ubishi John Raphael Bocco leo kakiwasha yule mtu yaani nilikuwa sijui anacheza no ngapi.maana alikuwa anazunguka kote! Kukaba, assist mbili!
Nimekuchanganya na wasifu wa Bocco... no siko huko mkuu.Vp mkuu, kwa jinsi ulivyoangalia ile mechi,hakuna mchezaji wa Yanga alietoa mchango wake vizur uwanjan mana nakuona kiaina flan hiv
Mechi iliyopita dhidi ya LESOTHO alifunga mkuu.. hata leo mchango wake goli la 2 umeonekana.Akiwa kule Genk anafunga balaa, huku sijui inakuwajeee