Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Spika mzuri ni yule ambaye hatakuwa mwanachama, mfurukutwa, mfuasi, kibaraka wa chama chochote cha siasa...
 
You stole my comment. 🙂
Kwa mujibu wa Sheria ya Uvuvi Namba 22 ya Mwaka 2003 na Kanuni zake za mwaka 2009 Rula ni moja ya vipimo rasmi vilivyotajwa kisheria kutumika kupimia urefu wa samaki kujua kama amekidhi matakwa ya kisheria ya kuvuliwa. Pia usipotoshe watu kwa kuhoji kwanini alitumia Rula wakati sheria ilimtaka atumie Rula wewe ulitaka atumie kipimo ambacho hakijaelekezwa na Sheria? Na ukumbuke wakati Sheria hiyo inatungwa mwaka 2003 Mpina alikuwa sio Mbunge.
 
acheni kampeni humu ndani na ndo hao hao wanaotusababishia tusiende mbele.
 
Sijui Katiba inasemaje ila Jenerali Ulimwengu anafaa sana sana kwenye nafasi ya Uspika.
 

Arudishe mashamba ya wananchi na wanakijiji aliyojimegea akiwa waziri wa samaki.Ni morogoro huko mtaarifu kabisa
 
Sukuma gang nani ampe usupika, enzi zenu zilishapita, hatutafuti wazuri tunatafuta watiifu wa chama kama ndugai alivo kua kwa mwendazake, wakati kichwa ni emp
Tatizo lako ni uelewa, tukukumbushe tuuu kwamba Sukuma Gang huwezi kupamba nayo na ukashinda, mnavyoitaja sukuma gang mnazidi kuimarisha kambi yake. Mtajuta mbeleni, kwa sasa mnafurahisha nafsi zenu lakin yajayo mtashangaa
 
Na hiyo ndo sababu itakayofanya jina lake kuenguliwa. "Yahee huyo si mwenzetu"
 
... umeelewa jamaa alichomaanisha lakini?
 
haka kajamaaa ni hataree kweli kweli hata jiwe alikuwa anakaogopa na kukaitaa ka 'kichaaa' sasa sijui itakuaje kwa 'kichaa' mpina akiwa lungu la uspika, mhanga wa kwanza atakuwa ni ' serikali'...………...
 
Arudishe mashamba ya wananchi na wanakijiji aliyojimegea akiwa waziri wa samaki.Ni morogoro huko mtaarifu kabisa
TAFAKARI KABLA YA KU-COMENT!

Ni mwananchi gani wa leo anaweza kuporwa Ardhi yake acha utapeli yaani mlalamikaji uwe wewe huku JF badala ya wenye mashamba wenyewe.
 
kwa mjadala unaoendelea sasa hivi itv, i think Prof. Assad tumshawishi achukue form ya kugombea usupika wa bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…