Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Wewe hapo
Mkuu upo? Msalimie aliyekuwa mtalaka wako! Hongera kwa kurudiana!
Huyu mbona huwa haonekani kama Nsyuka...sasa inakuaje tena awe selebriti...??
wewe uliikuwa unataka haonekanae kama naini acha mikwara yako superstar ni mm pekeee na niko unique
Nakukubali sana mama mchungaji ladyfurahia.
Mke wangu Cheupe
alikuwa hajui kuwa mm ni unique hapa jf cc huyu acha nimweleze kiundani kwani ss ndo waombaji hapa