Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Jamani eti ni member gani hapa JF ni maarufu sana ukiondoa hao ma mods akina invisible? kujitaja haipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hapo
Mkuu upo? Msalimie aliyekuwa mtalaka wako! Hongera kwa kurudiana!
Huyu mbona huwa haonekani kama Nsyuka...sasa inakuaje tena awe selebriti...??
wewe uliikuwa unataka haonekanae kama naini acha mikwara yako superstar ni mm pekeee na niko unique
Nakukubali sana mama mchungaji ladyfurahia.
Mke wangu Cheupe
alikuwa hajui kuwa mm ni unique hapa jf cc huyu acha nimweleze kiundani kwani ss ndo waombaji hapa