Teh!! ushawahi kuona Sheikh au Mchungaji analazimishwa kufungisha ndoa....la hasha!!
Nyie fanyeni taratibu zenu za kifamilia na nyinginezo sisi kazi yetu kugonga muhuri na kuhifadhi fo fyucha riferensi!!!
Mambo ya Tanga si waniulize mie?
Tanga wanayeweza!
Tanga utulivu 100% !
Tanga zaidi ya uijuavyo !
Tanga Tanga!
Tanga shkamoo!
shem nashkuru kwa kulijua hilo
Mambo ya Tanga si waniulize mie?
Tanga wanayeweza!
Tanga utulivu 100% !
Tanga zaidi ya uijuavyo !
Tanga Tanga!
Tanga shkamoo!
Halafu ndio alikuwa anataka aende Unguja, mmh!!!!!! Hivi huko kuna utulivu kweli jamani