Lini twende zenji au dubai kutafuta ma dera?
Umenisahau kwani.....
jaman et ni member gan hapa jf ni maarufu sana ukiondoa hao ma mods akina invisible? kujitaja haipo
Muamuzi ni wewe YNNAH
Mmh tena na vile muda mrefu sana humu ndani hatujakifinya kipunga...ngoja niongee na ile brass band tuje na matarumbeta
twende dubain tupate vitu bomba. Tuende next week ili tupate dera la kupokelea posa pia