Nani anafaa kuwa Supastaa wa JF?

Nani anafaa kuwa Supastaa wa JF?

images




NITARUDI
 
umaarufu harufu, watakuchunguza mpaka mnavyo lala na mkeo/mmeo hadi kula mi siutaki kabisa na sitaki mtu anitaje
 
Kwani nimekutekenya?
Au zimezidi zinataka kupunguzwa?
Wasiliana na Bishanga mi kwa leo niko nimekamatika na Kipipi

leo naona home made viagra imekukolea vipi ni karanga mbichi,umechemsha tikiti maji,umejipaka vitunguu saumu au umepitia Changbah kupata pilipili?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom