Kuna watu wengi sana Wazuri wanafaa kwa nafasi nyingi katika nchi hii...bahati mbaya huwa hawasaidiwi kukua kufika juu...
WAPO WATU wakipata nafasi hufanya kampeni kali kuwaumiza na kuwamaliza walioko chini yao wenye uwezo mzuri...Hilo tumeliona sana awamu iliyopita ndio mana tuhahaha kuwaza nani awe Waziri wa Michezo ukweli ni Kwamba Bashungwa Hatoshi.
Wanazi wa Simba Ndugai na Majaliwa waweze kuhudhuria!Sababu ya kuhairisha mchezo huo ni nini?
Ova
TFF imeomba radhi na kusema imesikitishwa na kilichotokea na kusababisha kuahirishwa kwa mchezo kati ya Simba SC na Yanga SC.Sababu ya kuhairisha mchezo huo ni nini?
Ova
Una uhakika gani kuwa TFF wanasema kweli kuwa walipewa order ya kubadilisha huo muda?Kufuatia sakata la jana, ni wazi Waziri wa Michezo aliyepo"ametuzingua sana".
Na hivyo kwakuwa katuzingua watanzania ni sawa na kumzingua Rais, tunategemea muda wowote ataachia ngazi kuonyesha dhana ya uwajibikaji, au ataondolewa na mamlaka iliyomuweka.
Je ni nani anafaa kuwa waziri mpya wa michezo? Pendekeza jina...
Sifa ya Haji Manara ni kufundisha madrasa maana elimu aliyo nayo haimruhusu kuongoza wizara.Haji Manara
Yule jamaa naona kama ongea yake inamtesa sana.Kuna watu wengi sana Wazuri wanafaa kwa nafasi nyingi katika nchi hii...bahati mbaya huwa hawasaidiwi kukua kufika juu...
WAPO WATU wakipata nafasi hufanya kampeni kali kuwaumiza na kuwamaliza walioko chini yao wenye uwezo mzuri...Hilo tumeliona sana awamu iliyopita ndio mana tuhahaha kuwaza nani awe Waziri wa Michezo ukweli ni Kwamba Bashungwa Hatoshi.
Yule ni mchawiPolepole!
Utakuwa umerogwa wewe siyo bureHumphey Polepole, anajuwa Sheria, Amedil Sana na Media , wasanii. Mambo ya Jukwaa , connection na Serikali na n.k
Mhe. Neema Rugangila anafaaKufuatia sakata la jana, ni wazi Waziri wa Michezo aliyepo"ametuzingua sana".
Na hivyo kwakuwa katuzingua watanzania ni sawa na kumzingua Rais, tunategemea muda wowote ataachia ngazi kuonyesha dhana ya uwajibikaji, au ataondolewa na mamlaka iliyomuweka.
Je ni nani anafaa kuwa waziri mpya wa michezo? Pendekeza jina...
TFF waache ujinga ujinga na upotoshaji,TFF imeomba radhi na kusema imesikitishwa na kilichotokea na kusababisha kuahirishwa kwa mchezo kati ya Simba SC na Yanga SC.
TFF imeitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu kuahirishwa kwa mchezo huo, na kushughulikia hatima ya waliolipa viingilio. https://t.co/73m03b5G9G
Mama atachukua toka upinzaniKufuatia sakata la jana, ni wazi Waziri wa Michezo aliyepo"ametuzingua sana".