ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Kufuatia sakata la jana, ni wazi Waziri wa Michezo aliyepo"ametuzingua sana".
Na hivyo kwakuwa katuzingua Watanzania ni sawa na kumzingua Rais, tunategemea muda wowote ataachia ngazi kuonyesha dhana ya uwajibikaji, au ataondolewa na mamlaka iliyomuweka.
Je ni nani anafaa kuwa waziri mpya wa michezo? Pendekeza jina.